COVID-19

Kiswahili (Swahili)

 

COVID-19 husababisha ugonjwa wa tatizo la upumuaji ambao unaweza kusambaa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine. Janga hili kwa sasa linaiathiri Marekani na nchi zingine duniani kote. Una wajibu wa muhimu katika kulinda afya yako na kuzuia maambukizi ya COVID-19. Ili kukusaidia wakati wa mlipuko huu, hapa chini kuna orodha ya nyaraka za muhimu zilizotafsiriwa katika lungha mbalimbali.  

New Hampshire

COVID-19 in New Hampshire: https://www.nh.gov/covid19

NH Department of Health and Human Services (DHHS)

Centers for Disease Control and Prevention (CDC)

Cultural Orientation Resource Exchange (CORE)